Habari RFI-Ki
DRC imejikatia tiketi ya kucheza kwenye kupute cha kuwania kombe la dunia Haya hapa maoni ya waskilizaji.
Vær den første til at kommentere
Tilmeld dig nu og bliv en del af Habari RFI-Ki-fællesskabet!
Derefter 99 kr. / måned · Opsig når som helst.
13 episoder
Mkutano wa Africa Forward watoa kipau mbele kwa masuala ya vijana
Mkutano wa Afrika forward unaoongozwa na Ufaransa umeanza leo jijini Nairobi ambapo karibia marais 30 ,kutoka barani Afrika wanatarajiwa kuudhuria ili kujadili ushirikiano katika sekta ya uchumi wa buluu, mazingira ,afya na kilimo. Mkutano huu umetoa kipaumbele ka ajenda zinazowahusu vijana, na hasa matumizi ya teknolojia, akili unde au AI na namna vijana wanaweza kukumbatia fursa katika sekta hizo.
Sheria mpya ya Uganda kukabili wageni wanaoingilia masuala yake ya ndani
Sheria kama hiyo pia inatumika na Urusi, inakosolewa na wanaharakati wa haki za kibinadamu huku wapinzani wakisema inawalenga, kwa sababu ya kukosoa utawala wa rais Ypweri Museveni. Unazungumziaje sheria hii mpya nchini Uganda ?
Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z
Rais Samia Suluhu Hassan, anataka Kenya na nchi yake ya Tanzania kushirikiana ili kukabili uanaharakati wa 'kuvuka mipaka' kutoka kwa vijana wa Gen Z ambao ameelezea unatishia amani na usalama wa nchi nchi za Afrika Mashariki. Unazungumziaje kauli hii ya rais Samia? Unadhani ni sahihi kwa vijana kuadhibiwa kwa kushinikiza mabadiliko kwenye nchi zao?
Ziara ya Rasi William Ruto nchini Tanzania na makubaliano baina ya nchi hizo
Kenya na Tanzania zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote visivyo vya kikodi vya kibiashara, ili kuimarisha ushirikiano wa kibiashara. Unaamini yaliyokubaliwa kati ya nchi hizo mbili yatatekelezwa ?
Nini zaidi kifanyike kulinda uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari
Msikilizaji mei 3 2026 dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya Uhuru wa wanahabari, ripoti zikionesha ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari.
Kommentarer
0Vær den første til at kommentere
Tilmeld dig nu og bliv en del af Habari RFI-Ki-fællesskabet!