In Her Shoes With Getrude Shussa

Ijue nguvu ya msamaha

15 min · 3. mar. 2021
episode Ijue nguvu ya msamaha cover

Beskrivelse

Wewe ni miongoni mwa wale watu ambao hawawezi kusamehe hata iweje😜basi uko sehemu sahihi kwani kupitia podcast hii utaweza kuijua nguvu ya msamaha na utaona ni kwa namna gani msamaha ni muhimu kwako kiasi gani. Najua sio kazi rahisi kusamehe na kusahau au kusamehe lakini ukiamua kutoka moyoni mwako hakuna kitakachoshindikana. Ungana nami mwanzo mpaka mwisho usisahau na kuwashirikisha watu wengine.

Kommentarer

0

Vær den første til at kommentere

Tilmeld dig nu og bliv en del af In Her Shoes With Getrude Shussa-fællesskabet!

Kom i gang

1 måned kun 9 kr.

Derefter 99 kr. / måned · Opsig når som helst.

  • Podcasts kun på Podimo
  • 20 lydbogstimer pr. måned
  • Gratis podcasts