Life Proofs
Katika sehemu hii, Daktari Miriam anaelezea kuhusu maisha yake na jinsi Mungu alivyomuinua kupitia mambo mbalimbali magumu aliyopitia maishani mwake.
Vær den første til at kommentere
Tilmeld dig nu og bliv en del af Life Proofs-fællesskabet!
Derefter 99 kr. / måned · Opsig når som helst.
12 episoder
Amenitafuta (ft. Mariam Maranatha)
Katika sehemu hii, Mariam Maranatha anaelezea jinsi alivyokuwa na shauku ya kuwa na kaka na hatimaye kaka yake kumtafuta.
Wanishangaza (ft. Tunsume Boniface)
Katika sehemu hii, Tunsume Boniface anaelezea jinsi Mungu alivyomshangaza kwa kufanya vizuri mno katika masomo ya Sayansi. Ingawa hakusoma kwa takribani miezi 6 ya mwanzo, lakini bado alifanya vizuri mno.
Ameniinua (ft. Dr. Miriam Kahabi)
Silaha Yangu Ni Sala
Katika sehemu hii, Grace Konga anaelezea jinsi alivyopitia hali ngumu katika safari yake ya elimu lakini kupitia nguvu ya maombi, aliweza kuendelea na kuvuka vikwazo vyote na hatimaye kuhitimu Chuo Kikuu.
Biblia Ina Kusudi Langu (ft. Grace Kikasi)
Katika sehemu hii, Grace Kikasi anaelezea jinsi kusoma Biblia kulivyomsaidia Yeye kumsikia Mungu na hatimaye kujua na kuanza kuishi kusudi lake la kuwepo duniani.
Kommentarer
0Vær den første til at kommentere
Tilmeld dig nu og bliv en del af Life Proofs-fællesskabet!