Mending Thoughts Africa

MTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 2

32 min · 9. dec. 2023
episode MTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 2 cover

Beskrivelse

KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO Kila mtu anazo rasilimali za ndani zinazomfanya akabiliane na changamoto mbali mbali katika maisha yake, ikiwemo msongo wa mawazo. Hata hivyo kwa sababu mbalimbali zinaweza kuwa butu kiasi mtu akashindwa kukabiliana na changamoto kwa njia nzuri hatimaye akajidhuru badala ya kujisaidia. Mjadala wetu utajikita kwenye namna ya kujenga na kuimarisha rasiliamali hizi. BUILDING YOUR CHILD'S INTERNAL RESOURCES Everyone has internal resources that make him face various challenges in his life, including stress. However, for various reasons, it can be quite blunt and a person fails to face the challenges in a good way and ends up harming himself instead of helping himself. Our discussion will focus on how to build and strengthen these resources.

Kommentarer

0

Vær den første til at kommentere

Tilmeld dig nu og bliv en del af Mending Thoughts Africa-fællesskabet!

Kom i gang

2 måneder kun 19 kr.

Derefter 99 kr. / måned · Opsig når som helst.

  • Podcasts kun på Podimo
  • 20 lydbogstimer pr. måned
  • Gratis podcasts

Alle episoder

53 episoder

episode MTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 2 cover

MTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 2

KUASILI MTOTO NA AFYA YA AKILI Kuna nyakati ambazo mtoto anaweza kupewa wazazi wengine kisheria, mchakato huu unaitwa kuasili. Hata hivyo, kuasiliwa kunaweza kumpelekea mtoto kupata changamoto za afya ya akili hasa zile za kihaiba na kitabia. Majadiliano yetu yataangazia mchakato wa kuasili, kuasiliwa na namna unavyoweza kumuathiri mtoto na njia bora za kuchukuwa ili kuepusha athari hizo. ADOPTION AND MENTAL HEALTH There are times when a child can be legally given to other parents, this process is called adoption. However, adoption can lead the child to experience mental health challenges, especially those of mental and behavioral problems. Our discussion will focus on the process of adoption, adoption and how it can affect the child and the best ways to take to avoid those effects.

9. dec. 202332 min
episode MTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 1 cover

MTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 1

KUASILI MTOTO NA AFYA YA AKILI Kuna nyakati ambazo mtoto anaweza kupewa wazazi wengine kisheria, mchakato huu unaitwa kuasili. Hata hivyo, kuasiliwa kunaweza kumpelekea mtoto kupata changamoto za afya ya akili hasa zile za kihaiba na kitabia. Majadiliano yetu yataangazia mchakato wa kuasili, kuasiliwa na namna unavyoweza kumuathiri mtoto na njia bora za kuchukuwa ili kuepusha athari hizo. ADOPTION AND MENTAL HEALTH There are times when a child can be legally given to other parents, this process is called adoption. However, adoption can lead the child to experience mental health challenges, especially those of mental and behavioral problems. Our discussion will focus on the process of adoption, adoption and how it can affect the child and the best ways to take to avoid those effects.

9. dec. 202327 min