Habari RFI-Ki
Kila Ijumaa unapata nafasi kuchangia chochote kile, pengine ulikiskia kwenye matangazo yetu au kile kinafanyika hapo uliopo. Skiza maoni ya mskilizaji
Ole ensimmäinen kommentoija
Rekisteröidy nyt ja liity Habari RFI-Ki-yhteisöön!
Kokeilun jälkeen 7,99 € / kuukausi. · Peru milloin tahansa.
18 jaksot
Kila Ijumaa unapata nafasi kutoa maoni ndani ya rfi Kiswahili
Kenya : Miaka miwili baada ya maandamano ya Gen Z
Shaba yetu leo inalenga nchini Kenya mbapo raia nchini humo wameadimisha miaka miwili tangu kutokea kwa maandamano ya mwaka 2024 ya vijana waliokuwa wapigigania mageuzi nchini humo. Skiza maoni ya mskilizaji.
Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu baada ya shinikizo kutoka ndani ya chama chake na kupungua kwa uungwaji mkono wa raia. Je, viongozi wanapaswa kujiuzulu wanapopoteza uungwaji mkono wa wananchi? Skiza makala ya maoni ya waskilizaji.
Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume
Ulimwengu umeadhimisha wiki ya afya ya akili kwa wanaume, wataalamu wanaonya kuwa msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa wanaume. Unafikiri kwa nini wanaume wengi huumia kimya bila kutafuta msaada? Skiza maoni ya mskilizaji.
Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita
Rais Donald Trump anasema Mlango Bahari wa Hormuz pia utafunguliwa tena hivi karibuni.Mkataba wa amani, unatarajiwa kutiwa saini siku ya Ijumaa, wiki hii nchini Uswizi
Kommentit
0Ole ensimmäinen kommentoija
Rekisteröidy nyt ja liity Habari RFI-Ki-yhteisöön!