HabariTech
CAPTCHA imekuwa ni kitu inakera sana hivi karibuni pale inapokuja mara kwa mara. Kila muda inakutaka kuthibitisha kama wewe ni binadamu. Ni kama vile bots zimeanza kuichukua dunia, lakini haiko hivyo.
Ole ensimmäinen kommentoija
Rekisteröidy nyt ja liity HabariTech-yhteisöön!
Sitten 7,99 € / kuukausi · Peru milloin tahansa.
12 jaksot
Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi
Kwa vijana wengi wa kitanzania ambao tunatufuta pesa leo ili tule leo na kesho wazo la kuwekeza huonekana kama ni la mamilionea. Kuna namna ukifikiria hili unaweza kuona kama ni sawa, lakini haipo hivyo. Ukweli ni kwamba ukiwa na mfumo wenye mkakati unaoeleweka ni rahisi zaka kutengeneza mashine yako ya dividend ambayo itakulisha vizuri baada ya miaka 10 ijayo. Kuna kanuni za msingi za uwekezaji ambazo ukizifuata na kuwekeza kiasi cha Tsh. 50,000 kila mwezi utaweza kuufikia uhuru wa kifedha.
Kutengeneza Podcast Bila vifaa vya Gharama
Ukitaka kuanza tengeneza podcast unaweza dhani unahitaji vifaa vya gharama ili uweze. Hiyo sio kweli kwa hapa HabariTech. Sisi tunatumia siku tu na tunatoa podcast nzuri.
Utapoteza Account zako za Google
“Use it or Lose it” Google wanakwambia “Tumia au Ipoteze”. Wanaongelea zile accounts ambazo zimekaa muda mrefu bila kutumika. Hizi account zote zitafutwa bila kujali kama mmiliki yuko hai au tayari amefariki.
Google Chrome CAPTCHA kuondolewa katika Version Zijazo
Google kubadili icon ya HTTPS kwa sababu imepoteza uhalisia wake
Mwanzoni mwa miaka ya 2010s kufuli iliyofungwa ilianza kutumika kuonyesha kwamba website ziko salama. Miaka ya sasa hivi alama hii imeonekana kupoteza thamani yake kwa kuwa hata website zenye malicious code zinaonekana kutumia alama hii. Hivyo google wameamua kuja na utatuzi mpya wa tatizo hili.
Kommentit
0Ole ensimmäinen kommentoija
Rekisteröidy nyt ja liity HabariTech-yhteisöön!