MAGAZIJUTO

MAGAZIJUTO

Podcast by MAGAZIJUTO MAGAZIMATRIX

Hapa ni nyumbani kwa msanii kutoka familia ya CHAPAKAZI , ambaye atakuwa anawakilisha kazi zake za kisanii Kama njia ya kuwa karibu na washabiki wake kutoka pande zote za ulimwengu. Hapa utapata mambo mengi juu yake. 🔥🔥🔥🔥🔥

90 vrk ilmainen kokeilu

Kokeilun jälkeen 19,99 € / kuukausi.Peru milloin tahansa.

Aloita maksutta

Kaikki jaksot

4 jaksot
episode STULI YA MGUU MMOJA artwork
STULI YA MGUU MMOJA

Karibu Tena kwenye muendelezo wa safari ya Magazijuto juu ya mziki wake ambae kwa safari hii amekuja na ushahuri ulio jaa ujumbe tofauti na jumbe za awali. Ndani ya nyimbo hii mpya ambayo ameitoa tarehe 26/4/2018 ,Kuna utofauti mkubwa na ujuzi wa kiwango Cha juu ambacho kime endelea kujenga aina flani ya uaminifu kwa wasikilizaji wanao jali utunzi mzuri , kwenye nyimbo hii Magazi kagusa upande wa siasa na uchumi wa Tanzania na AFRICA kwa ujumla. Tuangalie mstari ambao wengi wamekuwa ukiwa vutia Kati ya mingi iliyoweza tajwa tuchukue mmoja " kwenye dawa ndipo mimi mzawa nafia/wanacho nawa ni machozi yangu pindi nalia/" Nyimbo hii imeonekana kuwa na beti ambazo Zina fanya msikilizaji asichoshwe kuisikiliza na kumfanya arudie mara kadhaa wa kadhaa kuisikiliza na hata comments zanwatu YouTube zimeonyesha waru kuguswa na wengineyo kupelekea kububujikwa na mchozi. #magazjmatrix #talkinglyrics #Chapakazi #Barsnificent 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

17. kesäk. 2018 - 3 min
episode POPOTE artwork
POPOTE

Jumuika tena na mtunzi wako mahiri Magazijuto a.k.a magazimatrix kwenye safari yake ya muziki wa hip-hop ! Leo anakuja na project ambayo amewashirikisha Kaka zake wawili ambao ndio chachu yake kubwa ya kuwa hivyo alivyo Kabla hauja mlaumu magazi Basi walaumu watu hawa SALU-T NA ADILI HISABATI ,ambao wanapatikana ndani ya nyimbo hii iitwayo POPOTE. kwa mara ingine tena nyimbo hii mahiri inaletwa kwenu chini ya Producer wetu Bora NDULA-B kutoka 95records. 🔥🔥🔥🔥 Swahili hip-hop #boom-bap #Talkinglyrics #Barsnificent #POPOTE

17. kesäk. 2018 - 4 min
episode BIDHAA artwork
BIDHAA

Karibu Tena kwenye muendelezo wapili wa safari ya msanii wako Magazijuto , muula huu tunaenda kuisikiliza nyimbo yake iliyo tengenezwa mwaka 2016 na kuachiliwa hewani kupitia mitandao ya kijamii. Kwa Mara ingine Tena Ni mtayarishaji (produced) by NDULA-B kutokea 95Records.

17. kesäk. 2018 - 3 min
episode MUULA WA KWANZA WA SAFARI YA MUZIKI NA MAGAZIJUTO artwork
MUULA WA KWANZA WA SAFARI YA MUZIKI NA MAGAZIJUTO

Nyimbo hii ili tungwa na msanii wa miondoko ya HIP-HOP ambaye anaenda kwa jina la [MAGAZIJUTO] Wimbo huu uli fanikiwa kurekodiwa mwaka 2012 na ukapewa jina la awali la (ZANA).. wimbo huo chini ya Producer NDULA-B ambae aliamua kuurudia upya 2015 na ukawa ni mpya na umebadirika kiasi ikapekea upewe jina tofauti ambalo ndio hadi sasa imesimama Kama {MIniMC}. Wimbo huo uliachiliwa rasmi mwaka 2016 ,na ulipokelewa vyema Sana kwa Wana jamii ..

17. kesäk. 2018 - 4 min
Kuuntele rekisteröitymällä
Loistava design ja vihdoin on helppo löytää podcasteja, joista oikeasti tykkää
Loistava design ja vihdoin on helppo löytää podcasteja, joista oikeasti tykkää
Kiva sovellus podcastien kuunteluun, ja sisältö on monipuolista ja kiinnostavaa
Todella kiva äppi, helppo käyttää ja paljon podcasteja, joita en tiennyt ennestään.

90 vrk ilmainen kokeilu

Kokeilun jälkeen 19,99 € / kuukausi.Peru milloin tahansa.

Podimon podcastit

Mainoksista vapaa

Maksuttomat podcastit

Äänikirjat

100 tuntia / kk

Aloita maksutta

Vain Podimossa

Suosittuja äänikirjoja