Mwl. Erick’s Podcast

MAELEKEZO YA KIMUNGU

24 min · 16. tammi 2026
jakson MAELEKEZO YA KIMUNGU kansikuva

Kuvaus

JAMBO MUHIMU KWA MAFANIKIO Mafanikio ya kweli hayategemei mawazo makubwa, fedha, au mahusiano ya kibinadamu pekee, bali yanategemea maelekezo ya Mungu. Neno la Mungu latufundisha kuyathamini maelekezo kuliko fedha, na maarifa kuliko dhahabu safi. Mara nyingi, hatua yako inayofuata hutokana na kutii neno rahisi la Roho Mtakatifu, hata kama halina mantiki kwa akili ya kibinadamu. Bwana ndiye anayekufundisha ili upate faida na anayekuongoza katika njia ikupasayo kuifuata. Hakuna kinachomfanya mtu awe mkuu kama kufuata maelekezo ya kiungu.

Kommentit

0

Ole ensimmäinen kommentoija

Rekisteröidy nyt ja liity Mwl. Erick’s Podcast-yhteisöön!

Aloita maksutta

14 vrk ilmainen kokeilu

Kokeilun jälkeen 7,99 € / kuukausi. · Peru milloin tahansa.

  • Podimon podcastit
  • 20 kuunteluaikaa / kuukausi
  • Lataa offline-käyttöön

Kaikki jaksot

44 jaksot