Washkaji Podcast
Afya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya bora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga. Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina #AfyaYaAkili #Akili #Afya #MentalHealth #Relationships #Health #Wanaume
9 jaksot
Kommentit
0Ole ensimmäinen kommentoija
Rekisteröidy nyt ja liity Washkaji Podcast-yhteisöön!