SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

Podcast door SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Probeer 7 dagen gratis

€ 9,99 / maand na proefperiode.Elk moment opzegbaar.

Probeer gratis

Alle afleveringen

1801 afleveringen
episode Jeremiah "kuna mkanganyo wa maadili yaki Afrika naya wazungu hapa Melbourne" artwork
Jeremiah "kuna mkanganyo wa maadili yaki Afrika naya wazungu hapa Melbourne"

Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.

Gisteren - 7 min
episode Taarifa ya Habari 13 Mei 2025 artwork
Taarifa ya Habari 13 Mei 2025

Sussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, katika kura yakumchagua kiongozi mpya muda mfupi ulio pita mjini Canberra.

13 mei 2025 - 17 min
episode Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje? artwork
Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje?

Tanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili serikalini.

13 mei 2025 - 9 min
episode Taarifa ya Habari 9 Mei 2025 artwork
Taarifa ya Habari 9 Mei 2025

Anthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.

09 mei 2025 - 18 min
episode Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest artwork
Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest

Adam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.

09 mei 2025 - 8 min
Super app. Onthoud waar je bent gebleven en wat je interesses zijn. Heel veel keuze!
Makkelijk in gebruik!
App ziet er mooi uit, navigatie is even wennen maar overzichtelijk.

Probeer 7 dagen gratis

€ 9,99 / maand na proefperiode.Elk moment opzegbaar.

Exclusieve podcasts

Advertentievrij

Gratis podcasts

Luisterboeken

20 uur / maand

Probeer gratis

Alleen bij Podimo

Populaire luisterboeken