Start 7 days free trial
After trial, only 79,00 kr. / month.Cancel anytime.
All episodes
3 episodesMax Rioba anafunguka kuhusu series yake ya We Men, kufanya kazi na Wema Sepetu kwenye tamthilia ya Karma kupotea na kurudi kwa label yake ya MDB na jinsi Diamond alivyokuwa anaitaka kabla ya kuanzisha WCB pamoja na kufanya kazi na Hamisa Mobetto kama meneja wake na mengine
Rapper na mtangazaji wa redio, Frida Amani, anafunguka kwenye #ChillnaSky kuhusu ngoma yake mpya Done ambayo anaelezea kuumizwa vibaya na mwanaume aliyekuwa akimpenda. Anaelezea pia ngoma zake za nyuma, aina yake ya muziki, management yake mpya. Anasimulia pia maisha yake ya utotoni, kulelewa zaidi na bibi yake, alivyokuwa hapendi shule, kuingia BSS, alivyopata kazi East Africa Radio, kuhamia Clouds Media Group
Fahamu mengi kuhusiana na muongozaji mahiri wa filamu na tamthilia nchini, Leah Mwendamseke
Available everywhere
Listen to Podimo on your phone, tablet, computer or car!
A universe of audio entertainment
Thousands of audiobooks and exclusive podcasts
No ads
Don't waste time listening to ad breaks when listening to Podimo's content.
Start 7 days free trial
After trial, only 79,00 kr. / month.Cancel anytime.
Exclusive podcasts
Ad free
Non-Podimo podcasts
Audiobooks
20 hours / month