Mwl. Erick’s Podcast
Katika mafundisho haya ya Kuelewa Upendo, tunafunua maana ya kweli ya upendo wa Mungu. Upendo huu wa agape unathibitisha thamani yako na msingi wa maisha ya imani. Tutajifunza kwa nini imani hufanya kazi kupitia upendo na kwa nini kuzingatia upendo wa Mungu ni ufunguo wa maisha yanayoshinda. Sikiliza kwa makini ili kuelewa upendo wa milele usiopunguka wala kushindwa.
44 afleveringen
Reacties
0Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de Mwl. Erick’s Podcast community!