Siasa Zetu
Katika episode hii ya Siasa na Rushwa ,Bi.Bibie Mssumi na Said Miraj Abdulla wanajadili kuhusu Siasa bora huanza pale tunapochagua uadilifu badala ya tamaa ,Rushwa haijengi taifa inabomoa misingi ya haki na maendeleo ya taifa .Kila mmoja wetu ana wajibu wa kusema hapana kwa rushwa na ndiyo kwa uwajibikaji na uwazi. siasazetu #SiasaNaPropaganda#SiasaNiWananch
11 episoder
Kommentarer
0Vær den første til at kommentere
Tilmeld dig nu og bliv en del af Siasa Zetu-fællesskabet!