Voice Of Philip Miyawa

WETANGULA ASEMA MIGINGO NI KISIWA CHA WAKENYA

1 min · 14. aug. 2023
episode WETANGULA ASEMA MIGINGO NI KISIWA CHA WAKENYA cover

Description

Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema yakwamba tume ya Pamoja iliyobuniwa na mataifa ya Kenya na Uganda,  kwa kutumia michoro ya ramani ya kabla ya uhuru  ilibaini wazi yakwamba kisiwa cha Migingo kiko katika ardhi ya Kenya  na hivyo basi wavuvi wakenya hawafai kutatizwa na walinda usalama kutoka taifa Jirani la Uganda kila wanapofanya kazi yao ya uvuvi katika kisiwa hicho. Philip Miyawa anaripoti zaidi

Comments

0

Be the first to comment

Sign up now and become a member of the Voice Of Philip Miyawa community!

Get Started

1 month for 9 kr.

Then 99 kr. / month · Cancel anytime

  • Podcasts kun på Podimo
  • 20 lydbogstimer pr. måned
  • Gratis podcasts

All episodes

36 episodes