Voice Of Philip Miyawa
Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo. Philip Miyawa ana zaidi...........
36 episodes
Comments
0Be the first to comment
Sign up now and become a member of the Voice Of Philip Miyawa community!