The LetsView Podcast

Dr Frank Wekley Gansaulus--Jumapili Ya Fursa.

4 min · 18. mar. 2024
episode Dr Frank Wekley Gansaulus--Jumapili Ya Fursa. cover

Description

Historia nyuma ya uanzishwaji wa chuo/taasisi ya teknolojia ya Armour, yaani "Armour Institute of Technology" (Kwa sasa: Illinois Institute of Technology), haianzii katika ukatwaji wa utepe kwenye ile siku ya ufunguzi wa milango ya chuo hicho ya September, 1893. Historia yake inarudi nyuma kidogo, mpaka kwenye ile asubuhi ya jumapili moja, ndani ya ibada ya kanisa la 'Plymouth Church'. Hii ni simulizi fupi ya namna ambavyo maono yaliyokuwa yamejificha ndani ya moyo wa kijana mmoja, yalivyozaa hiyo taasisi ya elimu--Tafadhali isikilize.

Comments

0

Be the first to comment

Sign up now and become a member of the The LetsView Podcast community!

Get Started

1 month for 9 kr.

Then 99 kr. / month · Cancel anytime.

  • Podcasts kun på Podimo
  • 20 lydbogstimer pr. måned
  • Gratis podcasts