Voice Of Philip Miyawa
Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema yakwamba tume ya Pamoja iliyobuniwa na mataifa ya Kenya na Uganda, kwa kutumia michoro ya ramani ya kabla ya uhuru ilibaini wazi yakwamba kisiwa cha Migingo kiko katika ardhi ya Kenya na hivyo basi wavuvi wakenya hawafai kutatizwa na walinda usalama kutoka taifa Jirani la Uganda kila wanapofanya kazi yao ya uvuvi katika kisiwa hicho. Philip Miyawa anaripoti zaidi
36 jaksot
Kommentit
0Ole ensimmäinen kommentoija
Rekisteröidy nyt ja liity Voice Of Philip Miyawa-yhteisöön!