Voice Of Philip Miyawa

MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU

1 min · 4. touko 2023
jakson MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU kansikuva

Kuvaus

Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo. Philip Miyawa ana zaidi...........

Kommentit

0

Ole ensimmäinen kommentoija

Rekisteröidy nyt ja liity Voice Of Philip Miyawa-yhteisöön!

Aloita maksutta

14 vrk ilmainen kokeilu

Kokeilun jälkeen 7,99 € / kuukausi. · Peru milloin tahansa

  • Podimon podcastit
  • 20 kuunteluaikaa / kuukausi
  • Lataa offline-käyttöön

Kaikki jaksot

36 jaksot