Imagen de portada del programa Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

Podcast de RFI

suajili

Actualidad y política

Empieza 7 días de prueba

$99 / mes después de la prueba.Cancela cuando quieras.

  • 20 horas de audiolibros al mes
  • Podcasts solo en Podimo
  • Podcast gratuitos
Prueba gratis

Acerca de Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Todos los episodios

24 episodios

episode Jua Haki Zako - Fahamu kuhusu utaratibu wa kisheria baada ya kuvunjika kwa uchumba artwork

Jua Haki Zako - Fahamu kuhusu utaratibu wa kisheria baada ya kuvunjika kwa uchumba

Mara kadhaa katika mataifa ya Afrika kumeripotiwa matukio ya kuvunjika kwa uchumba baina ya mwanaume na mwanamke waliokuwa na matarajio ya kufunga ndoa. Je utaratibu wa kisheria ukoje? Ungana na Fredrick Nwaka katika makala ya Jua Haki Zako

2 de dic de 2019 - 9 min
episode Jua Haki Zako - Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake huku vitendo hivyo badoi vikiripotiwa katika mataifa mbalimbali artwork

Jua Haki Zako - Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake huku vitendo hivyo badoi vikiripotiwa katika mataifa mbalimbali

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndoa za utotoni, kudhalilishwa na kupigwa, ukatili wa kingono n.k. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala ya Jua Haki Zako.

26 de nov de 2019 - 9 min
episode Jua Haki Zako - Haki ya mwajiri na mwajiriwa kwa kuzingatia misingi ya mikataba ya kimataifa na kikanda artwork

Jua Haki Zako - Haki ya mwajiri na mwajiriwa kwa kuzingatia misingi ya mikataba ya kimataifa na kikanda

Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Tito Magoti hasa wakiangazia ripoti ya haki za binadamu na biashara iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu ya mwaka 2018/19.

18 de nov de 2019 - 10 min
episode Jua Haki Zako - Ukatili wa kijinsia na wajibu wa raia na serikali kukabiliana na vitendo hivyo artwork

Jua Haki Zako - Ukatili wa kijinsia na wajibu wa raia na serikali kukabiliana na vitendo hivyo

Matukio ya ukatili wa kijinsia bado ni changamoto katika mataifa ya Afrika mashariki na kati, tunaangazia namna utafiti na sheria zinavyoweza kusaidia kutatua changamoto hii. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya

12 de ago de 2019 - 9 min
episode Jua Haki Zako - Umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu artwork

Jua Haki Zako - Umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ikiwa umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo kuhusu ulinzi wa haki za binadamu kiduni.

16 de jun de 2019 - 10 min
Muy buenos Podcasts , entretenido y con historias educativas y divertidas depende de lo que cada uno busque. Yo lo suelo usar en el trabajo ya que estoy muchas horas y necesito cancelar el ruido de al rededor , Auriculares y a disfrutar ..!!
Muy buenos Podcasts , entretenido y con historias educativas y divertidas depende de lo que cada uno busque. Yo lo suelo usar en el trabajo ya que estoy muchas horas y necesito cancelar el ruido de al rededor , Auriculares y a disfrutar ..!!
Fantástica aplicación. Yo solo uso los podcast. Por un precio módico los tienes variados y cada vez más.
Me encanta la app, concentra los mejores podcast y bueno ya era ora de pagarles a todos estos creadores de contenido

Elige tu suscripción

Más populares

Premium

20 horas de audiolibros

  • Podcasts solo en Podimo

  • Disfruta los shows de Podimo sin anuncios

  • Cancela cuando quieras

Empieza 7 días de prueba
Después $99 / mes

Prueba gratis

Sólo en Podimo

Audiolibros populares

Prueba gratis

Empieza 7 días de prueba. $99 / mes después de la prueba. Cancela cuando quieras.