Imagen de portada del programa Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

Podcast de RFI

suajili

Actualidad y política

Empieza 7 días de prueba

$99 / mes después de la prueba.Cancela cuando quieras.

  • 20 horas de audiolibros al mes
  • Podcasts solo en Podimo
  • Podcast gratuitos
Prueba gratis

Acerca de Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Todos los episodios

27 episodios

episode Nyumba ya Sanaa - Ushairi umesaidia kukuza Fasihi artwork

Nyumba ya Sanaa - Ushairi umesaidia kukuza Fasihi

Umuhimu wa Ushairi katika kukuza fasihi,Kutana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya sanaa.

14 de dic de 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya artwork

Nyumba ya Sanaa - Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

Serikali ya Kenya imeendelea kutilia mkazo suala la kukagua maudhui ya kazi za sanaa nchini humo kwa lengo la kuhakikisha kuwa, ujumbe wa filamu na muziki sio wa kupotosha. Tunaangazia hili na afisa katka bodi ya filamu nchini humo Bonventure Kioko.

16 de nov de 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani artwork

Nyumba ya Sanaa - Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania mpaka jijini Dar es salaam kufanya sanaa hii. Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Viongozi wa Bendi hiyo.

12 de nov de 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa artwork

Nyumba ya Sanaa - Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

Sanaa ya Urembo ni Sanaa nyingine inayokuwa kwa kasi miongoni mwa Vijana, Wasichana wanatumia fursa ya kuwaremba si Maharusi tu hivi sasa hata watu wa kawaida wanapenda kurembwa katika sura zao ili kuonekana warembo na Watanashati katika shughuli zao za Kawaida. Makala haya yameangazia Sanaa hii, Steven Mumbi amezungumza na Hilda Koshuma, Mwalimu na Msanii anayefanya Sanaa hii

31 de oct de 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii artwork

Nyumba ya Sanaa - Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii

Sanaa ya Uchoraji wa picha Halisi ni Sanaa nyingine inayopendwa nchini Tanzania, kutana na Mchoraji Agasto Ngumba akizungumzia Sanaa hiyo katiak Makala haya.

14 de oct de 2019 - 20 min
Muy buenos Podcasts , entretenido y con historias educativas y divertidas depende de lo que cada uno busque. Yo lo suelo usar en el trabajo ya que estoy muchas horas y necesito cancelar el ruido de al rededor , Auriculares y a disfrutar ..!!
Muy buenos Podcasts , entretenido y con historias educativas y divertidas depende de lo que cada uno busque. Yo lo suelo usar en el trabajo ya que estoy muchas horas y necesito cancelar el ruido de al rededor , Auriculares y a disfrutar ..!!
Fantástica aplicación. Yo solo uso los podcast. Por un precio módico los tienes variados y cada vez más.
Me encanta la app, concentra los mejores podcast y bueno ya era ora de pagarles a todos estos creadores de contenido

Elige tu suscripción

Más populares

Premium

20 horas de audiolibros

  • Podcasts solo en Podimo

  • Disfruta los shows de Podimo sin anuncios

  • Cancela cuando quieras

Empieza 7 días de prueba
Después $99 / mes

Prueba gratis

Sólo en Podimo

Audiolibros populares

Prueba gratis

Empieza 7 días de prueba. $99 / mes después de la prueba. Cancela cuando quieras.