Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

Podcast door RFI Kiswahili

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Tijdelijke aanbieding

3 maanden voor € 1,00

Daarna € 9,99 / maandElk moment opzegbaar.

Begin hier

Alle afleveringen

134 afleveringen
episode Utakatishaji Fedha: Kenya yawekwa kwenye orodha ya nchi zilizo na changamoto, Uganda ikiondolewa. artwork
Utakatishaji Fedha: Kenya yawekwa kwenye orodha ya nchi zilizo na changamoto, Uganda ikiondolewa.

Mwezi Juni mwaka 2025, Tume ya Ulaya iliorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zenye changamoto ya utakatishaji wa fedha, huku Uganda ikipata afueni kwa kuondolewa kwenye orodha hiyo. Hatua hii ina maana kuwa mashirika ya kifedha – ikiwemo benki – zinalazimika kuzingatia kwa makini uhusiano wa kibiashara na miamala yoyote inayohusiana na nchi zilizo kwenye orodha hiyo, na kuchukua hatua kali za udhibiti wa fedha. Nchi nyingine katika orodha hiyo ni pamoja na Sudan Kusini, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Msumbiji, Nigeria, Afrika Kusini, na zingine. Katika Makala haya, Gurudumu la Uchumi, tunachambua hatua hii na athari zake kwa uchumi, lakini pia nini mamlaka katika nchi hizo zinaweza kufanya hili kujiondoa kwenye orodha hiyo.

26 jun 2025 - 10 min
episode EAC: Vipau mbele vya Bajeti za Afrika Mashariki na maana yake kwa raia artwork
EAC: Vipau mbele vya Bajeti za Afrika Mashariki na maana yake kwa raia

Alhamisi ya Juni 12, nchi za Jumuiya ya  Afrika Mashariki kwa pamoja kupitia Mawaziri wa Fedha, waliwasilisha Bajeti ya mwaka wa fedha ya mwaka 2025/26. Waziri wa fedha John Mbadi aliwasilisha Bajeti ya Shilingi za nchi hiyo Trilioni  4.2. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka huu wa fedha ni Shilingi za nchi hiyo Trilioni 56.49 huku Bajeti ya Uganda ikiwa ni Shilingi za nchi hiyo Trilioni 72.3. Lakini bajeti hii ina maana gani kwa raia wa nchi hizo na je bajeti hizi zinatoa taswira halisi ya mikakati yao nchi hizo kujitegemea na pia kukua? Skiliza makala haya upate ufahamu zaidi tukizungumza pia na David Otieno, mtafiti wa masuala ya bajeti kutoka shirika la Amnesty International.

19 jun 2025 - 9 min
episode Mabadiliko ya tabia nchi na matumizi ya teknolojia kwenye kilimo artwork
Mabadiliko ya tabia nchi na matumizi ya teknolojia kwenye kilimo

Wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili namna teknolojia inaweza kutumika katika kukifanya kilimo kuwa cha kisasa. Tumezungumza na Mhandisi Octavian Lasway, mtaalamu wa masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na umwagiliaji.

11 jun 2025 - 9 min
episode Mfumuko wa bei na mzigo wa madeni artwork
Mfumuko wa bei na mzigo wa madeni

Katika makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii tunajadili namna mfumuko wa bei na mzigo wa madeni umeendelea kuziathiri nchi zinazoendelea na namna gani zinaweza kukabiliana na changamoto hii.

04 jun 2025 - 10 min
episode Sehemu ya II: Sehemu ya I: Je, Teknolojia Inaweza Kupunguza changamoto za Biashara barani Afrika? artwork
Sehemu ya II: Sehemu ya I: Je, Teknolojia Inaweza Kupunguza changamoto za Biashara barani Afrika?

Msikilizaji wiki iliyopita katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tulianza na sehemu ya kwanza ya mada kuhusu namna teknolojia inavyoweza kuhusihwa kwenye biashara kutatua changamoto zinazolikabili bara la Afrika, ikiwemo biashara ya kidijitali kuchochea utangamano, kuongeza ufanisi na kuleta maendeleo. Leo nakuletea sehemu ya pili ya mazungumzo yangu na Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

28 mei 2025 - 9 min
Super app. Onthoud waar je bent gebleven en wat je interesses zijn. Heel veel keuze!
Super app. Onthoud waar je bent gebleven en wat je interesses zijn. Heel veel keuze!
Makkelijk in gebruik!
App ziet er mooi uit, navigatie is even wennen maar overzichtelijk.

Tijdelijke aanbieding

3 maanden voor € 1,00

Daarna € 9,99 / maandElk moment opzegbaar.

Exclusieve podcasts

Advertentievrij

Gratis podcasts

Luisterboeken

20 uur / maand

Begin hier

Alleen bij Podimo

Populaire luisterboeken