HabariTech
Kwa vijana wengi wa kitanzania ambao tunatufuta pesa leo ili tule leo na kesho wazo la kuwekeza huonekana kama ni la mamilionea. Kuna namna ukifikiria hili unaweza kuona kama ni sawa, lakini haipo hivyo. Ukweli ni kwamba ukiwa na mfumo wenye mkakati unaoeleweka ni rahisi zaka kutengeneza mashine yako ya dividend ambayo itakulisha vizuri baada ya miaka 10 ijayo. Kuna kanuni za msingi za uwekezaji ambazo ukizifuata na kuwekeza kiasi cha Tsh. 50,000 kila mwezi utaweza kuufikia uhuru wa kifedha.
12 afleveringen
Reacties
0Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de HabariTech community!