Ubora Podcast
Umewahi kujiuliza jinsi programu hiyo inavyofanya kazi au teknolojia itakuwaje siku za usoni? Jiunge nasi tunapochunguza ulimwengu wa kuvutia wa teknoloji. Jiandae kupanua ujuzi wako wa teknolojia! Tufuate katika safari ambayo tutazungumzia gunduzi za hivi punde, mwenendo, na mafanikio ya teknolojia. Yote haya ni katika podcast moja ya kusisimua. KARIBU
Reacties
0Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de Ubora Podcast community!