Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres yuko ziarani nchini Kenya kushuhudia uwekezaji mkubwa wa Umoja wa Mataifa wenye thamani ya karibu dola milioni 340 katika makao yake makuu jijini Nairobi. Uwekezaji huo unaelezwa kuwa moja ya miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ambayo Umoja wa Mataifa umewahi kufanya barani Afrika. Stella Vuzo kutoka kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIS Nairobi anafuatilia zira hiyo na hii hapa taarifa yake.
4620 episodes
Comments
0Be the first to comment
Sign up now and become a member of the Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu community!