Jua Haki Zako
Podcast by RFI
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua...
Start 7 days free trial
After trial, only 99,00 kr. / month.Cancel anytime.
All episodes
24 episodesMara kadhaa katika mataifa ya Afrika kumeripotiwa matukio ya kuvunjika kwa uchumba baina ya mwanaume na mwanamke waliokuwa na matarajio ya kufunga ndoa. Je utaratibu wa kisheria ukoje? Ungana na Fredrick Nwaka katika makala ya Jua Haki Zako
Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndoa za utotoni, kudhalilishwa na kupigwa, ukatili wa kingono n.k. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala ya Jua Haki Zako.
Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Tito Magoti hasa wakiangazia ripoti ya haki za binadamu na biashara iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu ya mwaka 2018/19.
Matukio ya ukatili wa kijinsia bado ni changamoto katika mataifa ya Afrika mashariki na kati, tunaangazia namna utafiti na sheria zinavyoweza kusaidia kutatua changamoto hii. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ikiwa umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo kuhusu ulinzi wa haki za binadamu kiduni.
Available everywhere
Listen to Podimo on your phone, tablet, computer or car!
A universe of audio entertainment
Thousands of audiobooks and exclusive podcasts
No ads
Don't waste time listening to ad breaks when listening to Podimo's content.
Start 7 days free trial
After trial, only 99,00 kr. / month.Cancel anytime.
Exclusive podcasts
Ad free
Non-Podimo podcasts
Audiobooks
20 hours / month