Habari RFI-Ki

Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z

9 min · 8. maj 20269 min
episode Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z cover

Description

Rais  Samia Suluhu Hassan, anataka Kenya na nchi yake ya Tanzania kushirikiana ili kukabili uanaharakati wa 'kuvuka mipaka'  kutoka kwa vijana wa Gen Z ambao ameelezea unatishia amani na usalama wa nchi nchi za Afrika Mashariki.   Unazungumziaje kauli hii ya rais Samia? Unadhani ni sahihi kwa vijana kuadhibiwa kwa kushinikiza mabadiliko kwenye nchi zao?

Comments

0

Be the first to comment

Sign up now and become a member of the Habari RFI-Ki community!

Get Started

2 months for 19 kr.

Then 99 kr. / month · Cancel anytime.

  • Podcasts kun på Podimo
  • 20 lydbogstimer pr. måned
  • Gratis podcasts
Get Started

All episodes

13 episodes