In Her Shoes With Getrude Shussa
Jamaniii kuzaa naye haimaniishi mpaka kifo kiwatenganishe, haimaniishi ni lazima muishi pamoja kitu unachotakiwa kujua ni kuwa "Mapenzi huisha" lakini mtoto ataendelea kuwepo na atawaunganisha kwa namna moja ama nyingine. Unamuona hafai kwako kwasababu mapenzi yameisha kati yenu lakini anaweza kuwa baba bora sana kwa mwanao. Tatizo linakuja pale ambapo hutaki kukubali kuwa wewe na yeye hamuwezi tena kuwa pamoja unazidi kuumia siku hadi siku na unashindwa kumove on na maisha yako mengine. Kwenye episode hii utapata kujua dondoo chache ambazo zitakusaidia wewe kumove on na maisha yako.
2 episodios
Comentarios
0Sé la primera persona en comentar
¡Regístrate ahora y únete a la comunidad de In Her Shoes With Getrude Shussa!