The LetsView Podcast
Kwani ipi ni maana halisi ya neno "Maisha"...!?
Sé la primera persona en comentar
¡Regístrate ahora y forma parte de la comunidad de The LetsView Podcast!
$99 / mes después de la prueba. · Cancela cuando quieras.
7 episodios
Maisha Ni Nini..!?
Muda--Hakimu Wa Kweli.
Kwanini tusitulie, na kisha tuuache muda uamue...!?
Andre Agassi--Penzi Kitovu Cha Yote.
Kama Mazoea kwa Ngoswe, vivyo hivyo Brooke Shields kwa Andre Agassi.--Utofauti uliopo ni kuwa, karatasi za sensa za maisha ya Andre, ziliokolewa na huba la Steffi Graf. Kama ile ya Romeo na Julieth, hii nayo ni simulizi ya wapendanao--Tafadhali Isikilize.
Dr Frank Wekley Gansaulus--Jumapili Ya Fursa.
Historia nyuma ya uanzishwaji wa chuo/taasisi ya teknolojia ya Armour, yaani "Armour Institute of Technology" (Kwa sasa: Illinois Institute of Technology), haianzii katika ukatwaji wa utepe kwenye ile siku ya ufunguzi wa milango ya chuo hicho ya September, 1893. Historia yake inarudi nyuma kidogo, mpaka kwenye ile asubuhi ya jumapili moja, ndani ya ibada ya kanisa la 'Plymouth Church'. Hii ni simulizi fupi ya namna ambavyo maono yaliyokuwa yamejificha ndani ya moyo wa kijana mmoja, yalivyozaa hiyo taasisi ya elimu--Tafadhali isikilize.
Sir Edmund Hillary--Kiboko Ya Mlima Everest.
Historia inamtaja Sir Edmund Hillary kama mtu wa kwanza kufanikiwa kuukwea Mlima Everest hata katika kilele chake. Hii ni simulizi nzuri, nyuma ya hiyo safari yake ya matumaini.
Comentarios
0Sé la primera persona en comentar
¡Regístrate ahora y forma parte de la comunidad de The LetsView Podcast!