Jinsi ya kushinda Hofu
Hofu kama nilibokwisha kuwaeleza hapo awali zipo za aina nyingi. Lakin mimi nitazungumzia zaidi jinsi ya kuikabili hofu ya mauti au kifo kwa wale wanaopitia magonjwa au kuugua na wamakata tamaa na kupoteza matumaini
6 afleveringen
Reacties
0Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de Jinsi ya kushinda Hofu community!