Jinsi ya kushinda Hofu
But hs to be said anyway. How to say it makes it painful but after saying it u get relief and peace. My own goodbye to you guys
Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de Jinsi ya kushinda Hofu community!
€ 9,99 / maand na proefperiode. · Elk moment opzegbaar.
6 afleveringen
When that last moment approaches Goodbye becomes the saddest word
Maisha ya chuo
Siku hizi kumaliza shule ya sekondari ni jambo zuri lakin kumaliza chuo kikuu imekua changamoto. Kuna vilio na sauti za vijana wa kike na wa kiume wanaopitia changamoto na wanahitaji msaada.
Kwa iman tunashinda ya dunia hata mauti inashindwa pia
Mimi ndimi njia ya uzima wa milele, aniaminie mimi hata akifa ataishi. Mahali nilipo ndipo nayeye atakapokuwepo
Ishinde Hofu
Kifo ni jambo lisilozoeleka kwa mtu yeyote, Lakini pamoja na hayo lipo tumaini la uzima tena, kwa wale waliomwamini Bwana Yesu Kristo. Na ndio maana mtume Petro aliwatia moyo waaminio wote wa wakati ule, akiwaambia wasistaajabie sana, msiba huo utakapowapata kwa ghafla kama jaribu la moto, kinyume chake wafurahie kwasababu lipo tumaini tena la uzima siku ile ya ufufuo..Kwasababu watafufuliwa tena, na kuwaona wapendwa wao. Je tunawezaje kuishinda hofu ya kifo?? Ungana nami
Jinsi ya Kuikabili Hofu
Hofu kama nilibokwisha kuwaeleza hapo awali zipo za aina nyingi. Lakin mimi nitazungumzia zaidi jinsi ya kuikabili hofu ya mauti au kifo kwa wale wanaopitia magonjwa au kuugua na wamakata tamaa na kupoteza matumaini
Reacties
0Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de Jinsi ya kushinda Hofu community!