The Founders Confessions

The Founders with Kennedy's Confessions - "Mchaka Mchaka"

51 min · 16 mei 2023
aflevering The Founders with Kennedy's Confessions - "Mchaka Mchaka" artwork

Beschrijving

Meet a young entrepreneur Kennedy Mmari sharing his journey as a businessman. ---------------------------------------- Hosted on Acast. See acast.com/privacy [https://acast.com/privacy] for more information.

Reacties

0

Wees de eerste die een reactie plaatst

Meld je nu aan en word lid van de The Founders Confessions community!

Begin hier

2 maanden voor € 1

Daarna € 9,99 / maand · Elk moment opzegbaar.

  • Podcasts die je alleen op Podimo hoort
  • 20 uur luisterboeken / maand
  • Gratis podcasts

Alle afleveringen

8 afleveringen

aflevering The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba". artwork

The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba".

Kama umewahi kusikia ile methali inayosema "Ukitaka mali utaipata shambani" basi kuna watu wanaweza kukuelezea maana yake vizuri zaidi. Mfahamu Lucas Malembo ambae ni CEO wa Malembo Farm. Ametufahamisha mengi sana kuhusu kilimo biashara, mtazamo wa wengi kuhusu biashara kupitia kilimo ni hasi, wengi hudhani kua sio rahisi kufanikiwa au ni kazi ya waliochoka kimaisha, Je ni kweli?. Lucas anatuaminisha wazi kabisa anatamani wengi, hasa vijana kujitokeza katika fursa za kilimo, maana kuna pesa na utajiri mkubwa. Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwake, kwanzia mwanzo wa safari yake, hapa alipo na anapoelekea. Unatamani kutengeneza pesa kupitia kilimo? Maswali yako mengi Lucas amekupa majibu yake!. Enjoy and Learn. The Founders with Lucas' Confessions - "Mali Shamba" Cheers! ---------------------------------------- Hosted on Acast. See acast.com/privacy [https://acast.com/privacy] for more information.

27 jul 20221 h 15 min
aflevering The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu-Udambu wa Muddy". artwork

The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu-Udambu wa Muddy".

Katika kila jambo kunahitaji nguvu kubwa kufika kule ambako unapotaka. Mfahamu Muddy Mabiriani, mtanzania alieacha ajira na kuamua kujishughulisha na uuzaji wa chakula akiwa mbobevu wa "Biriani". Ndoto zake na mitazamo yake kuhusu biashara anayofanya kwa ujumla vinafanya awe jinsi alivyo na ndivyo vimemfikisha hapa alipo mpka sasa. Kuna story nyingi sana unaweza kua unazisikia kuhusu yeye na biashara yake lakini waswahili wanasema "Ukitaka kujua utamu wa ngoma basi ingia uicheze". Tukakaa na muddy kupiga nae story kuhusu biashara yake, mwanzo wake alipo na anapotaka kufika. Kuna mengi sana unaweza kujifunza kwake, unaweza ukatafakari katika safari yako ya kuanzisha kile ambacho una kitaka either ni biashara au kampuni, ni wapi upite na wapi usipite. Karibu ujifunze kutoka kwa Muddy! The Founders with Muddy's Confessions - "Udambu Udambu wa Muddy" Cheers! ---------------------------------------- Hosted on Acast. See acast.com/privacy [https://acast.com/privacy] for more information.

11 jul 202253 min