The Founders Confessions
Dunia ya kidigitali ndio dunia ya sasa, kila kitu kina athiriwa moja kwa moja na teknolojia, tunaposema kila kitu tunamaanisha mpaka kwenye kazi na ajira. Tunakutana na Ashura ambae ni mmja wa waanzilishi wa jukwaa la wafanyakazi huru linalofahamika kama Gigspace. Ashura anatueleza mengi kuhusu wazo lake la kutoka kua mfanyakazi huru, mpaka kuunda jukwaa lake la wafanya kazi huru (Freelancers), kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake. The Founders with Ashura's Confessions - "Gigi" Cheers! ---------------------------------------- Hosted on Acast. See acast.com/privacy [https://acast.com/privacy] for more information.
8 afleveringen
Reacties
0Wees de eerste die een reactie plaatst
Meld je nu aan en word lid van de The Founders Confessions community!