Gurudumu la Uchumi

Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa

9 min · 4. juni 2026
episode Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa cover

Beskrivelse

Msikilizaji Sekta ya maua nchini Kenya, ambayo kwa muda mrefu imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi na chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikiingizia nchi zaidi ya dola bilioni moja za Marekani kila mwaka, sasa inakabiliwa na changamoto zinazotia wasiwasi kuhusu mustakabali wake.

Kommentarer

0

Vær den første til at kommentere

Tilmeld dig nu og bliv en del af Gurudumu la Uchumi-fællesskabet!

Kom i gang

1 måned kun 9 kr.

Derefter 99 kr. / måned · Opsig når som helst.

  • Podcasts kun på Podimo
  • 20 lydbogstimer pr. måned
  • Gratis podcasts

Alle episoder

24 episoder