Nyumba ya Sanaa
Podcast by RFI
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya A...
Start 7 days free trial
After trial, only 79,00 kr. / month.Cancel anytime.
All episodes
27 episodesUmuhimu wa Ushairi katika kukuza fasihi,Kutana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya sanaa.
Serikali ya Kenya imeendelea kutilia mkazo suala la kukagua maudhui ya kazi za sanaa nchini humo kwa lengo la kuhakikisha kuwa, ujumbe wa filamu na muziki sio wa kupotosha. Tunaangazia hili na afisa katka bodi ya filamu nchini humo Bonventure Kioko.
Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania mpaka jijini Dar es salaam kufanya sanaa hii. Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Viongozi wa Bendi hiyo.
Sanaa ya Urembo ni Sanaa nyingine inayokuwa kwa kasi miongoni mwa Vijana, Wasichana wanatumia fursa ya kuwaremba si Maharusi tu hivi sasa hata watu wa kawaida wanapenda kurembwa katika sura zao ili kuonekana warembo na Watanashati katika shughuli zao za Kawaida. Makala haya yameangazia Sanaa hii, Steven Mumbi amezungumza na Hilda Koshuma, Mwalimu na Msanii anayefanya Sanaa hii
Sanaa ya Uchoraji wa picha Halisi ni Sanaa nyingine inayopendwa nchini Tanzania, kutana na Mchoraji Agasto Ngumba akizungumzia Sanaa hiyo katiak Makala haya.
Available everywhere
Listen to Podimo on your phone, tablet, computer or car!
A universe of audio entertainment
Thousands of audiobooks and exclusive podcasts
No ads
Don't waste time listening to ad breaks when listening to Podimo's content.
Start 7 days free trial
After trial, only 79,00 kr. / month.Cancel anytime.
Exclusive podcasts
Ad free
Non-Podimo podcasts
Audiobooks
20 hours / month