Gurudumu la Uchumi

Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa

9 min · 4. Juni 2026
Episode Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa Cover

Beschreibung

Msikilizaji Sekta ya maua nchini Kenya, ambayo kwa muda mrefu imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi na chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikiingizia nchi zaidi ya dola bilioni moja za Marekani kila mwaka, sasa inakabiliwa na changamoto zinazotia wasiwasi kuhusu mustakabali wake.

Kommentare

0

Sei die erste Person, die kommentiert

Melde dich jetzt an und werde Teil der Gurudumu la Uchumi-Community!

Loslegen

2 Monate für 1 €

Dann 4,99 € / Monat · Jederzeit kündbar.

  • Podcasts nur bei Podimo
  • 20 Stunden Hörbücher / Monat
  • Alle kostenlosen Podcasts

Alle Folgen

24 Folgen