Habari RFI-Ki

Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z

9 min · 8. Mai 2026
Episode Maoni yako kuhusu kauli ya rais Samia kuhusu kukabili vijana wa Gen Z Cover

Beschreibung

Rais  Samia Suluhu Hassan, anataka Kenya na nchi yake ya Tanzania kushirikiana ili kukabili uanaharakati wa 'kuvuka mipaka'  kutoka kwa vijana wa Gen Z ambao ameelezea unatishia amani na usalama wa nchi nchi za Afrika Mashariki.   Unazungumziaje kauli hii ya rais Samia? Unadhani ni sahihi kwa vijana kuadhibiwa kwa kushinikiza mabadiliko kwenye nchi zao?

Kommentare

0

Sei die erste Person, die kommentiert

Melde dich jetzt an und werde Teil der Habari RFI-Ki-Community!

Loslegen

2 Monate für 1 €

Dann 4,99 € / Monat · Jederzeit kündbar.

  • Podcasts nur bei Podimo
  • 20 Stunden Hörbücher / Monat
  • Alle kostenlosen Podcasts