Habari RFI-Ki
Licha ya jitihada mbalimbali, bado watu wenye ualbino wanabaguliwa kwenye baadhi ya jamii na hata kuuawa kwa imani za kishirikina.
Sei die erste Person, die kommentiert
Melde dich jetzt an und werde Teil der Habari RFI-Ki-Community!
Dann 4,99 € / Monat · Jederzeit kündbar.
18 Folgen
Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu baada ya shinikizo kutoka ndani ya chama chake na kupungua kwa uungwaji mkono wa raia. Je, viongozi wanapaswa kujiuzulu wanapopoteza uungwaji mkono wa wananchi? Skiza makala ya maoni ya waskilizaji.
Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume
Ulimwengu umeadhimisha wiki ya afya ya akili kwa wanaume, wataalamu wanaonya kuwa msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa wanaume. Unafikiri kwa nini wanaume wengi huumia kimya bila kutafuta msaada? Skiza maoni ya mskilizaji.
Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita
Rais Donald Trump anasema Mlango Bahari wa Hormuz pia utafunguliwa tena hivi karibuni.Mkataba wa amani, unatarajiwa kutiwa saini siku ya Ijumaa, wiki hii nchini Uswizi
Siku ya kimataifa ya watu wanaoishi na Albinism au Ualbino, kuhamasisha haki, usalama na ustawi wao
Kipute cha kombe la dunia kinaanza rasmi
Kipute cha kombe la dunia kinaanza leo, huku Afrika Kusini ikipambana dhidi ya Mexico mwenyeji. Je, unazungumziaje timu za Afrika [https://www.rfi.fr/sw/lebo/afrika/] zinazoshiriki mashindano ya huu? Skiza makala haya.
Kommentare
0Sei die erste Person, die kommentiert
Melde dich jetzt an und werde Teil der Habari RFI-Ki-Community!