Jua Haki Zako

Jua Haki Zako - Haki ya mwajiri na mwajiriwa kwa kuzingatia misingi ya mikataba ya kimataifa na kikanda

10 min · 18. Nov. 2019
Episode Jua Haki Zako - Haki ya mwajiri na mwajiriwa kwa kuzingatia misingi ya mikataba ya kimataifa na kikanda Cover

Beschreibung

Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Tito Magoti hasa wakiangazia ripoti ya haki za binadamu na biashara iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu ya mwaka 2018/19.

Kommentare

0

Sei die erste Person, die kommentiert

Melde dich jetzt an und werde Teil der Jua Haki Zako-Community!

Loslegen

2 Monate für 1 €

Dann 4,99 € / Monat · Jederzeit kündbar

  • Podcasts nur bei Podimo
  • 20 Stunden Hörbücher / Monat
  • Alle kostenlosen Podcasts

Alle Folgen

24 Folgen