
Takwimu za Michezo
Podcast af ROBERT MIHAYO
Habari za michezo kwa ujumla kitaifa na kimataifa kwa michezo aina mbalimbali Kama vile mpira wa miguu ,kikapu, wavu, Pete mikono masumbwi, bila kusahau makala za michezo kwa kimataifa na kimataifa.
Begrænset tilbud
3 måneder kun 9,00 kr.
Derefter 99,00 kr. / månedIngen binding.
Alle episoder
2 episoder
Leo tumezungumzia mashindano ya mchezo wa kikapu nchini marekani .katika hatua ya mtoano

Nimezungumzia mashindano Ya kombe la shirikisho la Azam federation na michezo ya kimataifa tukianza name ligi kuu ya Uingereza ambayo imefikia tamati hapo Jana lakn pia kule nchini Ufaransa klabu ya Lile imetwa ubingwa wa ligi hiyo.
Begrænset tilbud
3 måneder kun 9,00 kr.
Derefter 99,00 kr. / månedIngen binding.
Eksklusive podcasts
Uden reklamer
Gratis podcasts
Lydbøger
20 timer / måned