Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

Podkast av RFI Kiswahili

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuy...

Prøv gratis i 14 dager

Etter prøveperioden kun 99,00 kr / Måned.Avslutt når som helst.

Prøv gratis

Alle episoder

114 Episoder
episode Afrika inajifunza nini baada ya Marekani kusitisha kwa muda misaada ya nje. artwork
Afrika inajifunza nini baada ya Marekani kusitisha kwa muda misaada ya nje.

Juma hili katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili kuhusu athari za hatua ya Marekani kusitisha kwa muda utoaji wa misaada ya nje. Uamuzi huu tayari umeonekana kutishia baadhi ya sekta zilizokuwa zinasaidiwa kupitia USAID kama vile Afya na Elimu. Tumezungumza na Ali Mkimo, mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

05. feb. 2025 - 9 min
episode Changamoto ya upatikanaji wa nishati ya uhakika barani Afrika artwork
Changamoto ya upatikanaji wa nishati ya uhakika barani Afrika

Juma hili viongozi wa nchi za Afrika walikutana Tanzania, kujadili namna bora ya kuhakikisha raia wake wanaunganishwa na nishati ya uhakika, endelevu na nafuu ifikapo mwaka 2030. Takwimu zinaonesha raia zaidi ya milioni 600 hawana umeme, bilioni 1 hawatumii nishati safi na salama. Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imezungumza na Walter Nguma, mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania, kuangazia changamoto zinazokwamisha upatikanaji wa nishati, fursa zilizopo.

29. jan. 2025 - 9 min
episode Wataalamu waonya kuhusu pengo la walionacho na wasionacho artwork
Wataalamu waonya kuhusu pengo la walionacho na wasionacho

Msikilizaji ripoti mpya ya shirika la kupambana na umasikini Oxfam, inaonesha kuwa utajiri wa mabilionea uliongezeka mara tatu zaidi katika mwaka uliopita, ikiwa ni zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2023. Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tumezungumza Ali Mkimo, mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara, kuangazia kwa kina ripoti hii na athari ya kuendelea kushuhudiwa kwa pengo la matajiri na masikini.

22. jan. 2025 - 9 min
episode Nchini Kenya Vijana wa mitaa duni wakumbatia Teknolojia ya biashara ndogo ndogo artwork
Nchini Kenya Vijana wa mitaa duni wakumbatia Teknolojia ya biashara ndogo ndogo

Teknolojia bunifu ya biashara ndogo ndogo  imekuwa ikijulikana kuwa ya watu waliojiweza katika jamiii kutokana na gharama yake ,hali ambayo inawafungia nje watu hasa vijana kutoka maeneo duni na vijijini hivyo kukosa kuimarika kibiashara na kiuchumi kupitia teknolojia hizo .Lakini hata hivyo vijana pamoja na mashirika mbalimbali mtaa wakibera jijini Nairobi Kenya  wapata fursa ya mafunzo na kuimarika kibiashara

15. jan. 2025 - 9 min
episode Sehemu ya II: Umuhimu wa kuwa na nidhamu ya kuweka akiba ya fedha artwork
Sehemu ya II: Umuhimu wa kuwa na nidhamu ya kuweka akiba ya fedha

Hivi leo ni sehemu ya pili ya makala ya Gurudumu la Uchumi, hasa tunapouanza mwaka 2025 tunaenda kujadili kuhusu nidhamu ya kuweka akiba ya fedha, ufanye nini kuongeza kipato, unatumiaje fedha ulizonazo kuwekeza ? Haya ni baadhi ya mambo ambayo tutaenda kuyatazama kwenye makala ya juma hili. Tutakuwa na Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

08. jan. 2025 - 10 min
Enkelt å finne frem nye favoritter og lett å navigere seg gjennom innholdet i appen
Liker at det er både Podcaster (godt utvalg) og lydbøker i samme app, pluss at man kan holde Podcaster og lydbøker atskilt i biblioteket.
Bra app. Oversiktlig og ryddig. MYE bra innhold⭐️⭐️⭐️

Tilgjengelig overalt

Lytt til Podimo på telefonen, nettbrettet, datamaskinen eller i bilen!

Et univers av underholdning på lyd

Tusenvis av lydbøker og eksklusive podkaster

Ingen annonser

Ikke kast bort tid på å lytte til annonser når du lytter til Podimos innhold.

Prøv gratis i 14 dager

Etter prøveperioden kun 99,00 kr / Måned.Avslutt når som helst.

Eksklusive podkaster

Uten reklame

Gratis podkaster

Lydbøker

20 timer i måneden

Prøv gratis

Andre eksklusive podkaster

Populære lydbøker