Forsidebilde av showet Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

Podkast av RFI

swahili

Nyheter og politikk

Prøv gratis i 14 dager

99 kr / Måned etter prøveperioden.Avslutt når som helst.

  • 20 timer lydbøker i måneden
  • Eksklusive podkaster
  • Gratis podkaster
Prøv gratis

Les mer Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Alle episoder

27 Episoder

episode Nyumba ya Sanaa - Ushairi umesaidia kukuza Fasihi cover

Nyumba ya Sanaa - Ushairi umesaidia kukuza Fasihi

Umuhimu wa Ushairi katika kukuza fasihi,Kutana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya sanaa.

14. des. 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya cover

Nyumba ya Sanaa - Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

Serikali ya Kenya imeendelea kutilia mkazo suala la kukagua maudhui ya kazi za sanaa nchini humo kwa lengo la kuhakikisha kuwa, ujumbe wa filamu na muziki sio wa kupotosha. Tunaangazia hili na afisa katka bodi ya filamu nchini humo Bonventure Kioko.

16. nov. 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani cover

Nyumba ya Sanaa - Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania mpaka jijini Dar es salaam kufanya sanaa hii. Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Viongozi wa Bendi hiyo.

12. nov. 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa cover

Nyumba ya Sanaa - Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

Sanaa ya Urembo ni Sanaa nyingine inayokuwa kwa kasi miongoni mwa Vijana, Wasichana wanatumia fursa ya kuwaremba si Maharusi tu hivi sasa hata watu wa kawaida wanapenda kurembwa katika sura zao ili kuonekana warembo na Watanashati katika shughuli zao za Kawaida. Makala haya yameangazia Sanaa hii, Steven Mumbi amezungumza na Hilda Koshuma, Mwalimu na Msanii anayefanya Sanaa hii

31. okt. 2019 - 20 min
episode Nyumba ya Sanaa - Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii cover

Nyumba ya Sanaa - Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii

Sanaa ya Uchoraji wa picha Halisi ni Sanaa nyingine inayopendwa nchini Tanzania, kutana na Mchoraji Agasto Ngumba akizungumzia Sanaa hiyo katiak Makala haya.

14. okt. 2019 - 20 min
Enkelt å finne frem nye favoritter og lett å navigere seg gjennom innholdet i appen
Enkelt å finne frem nye favoritter og lett å navigere seg gjennom innholdet i appen
Liker at det er både Podcaster (godt utvalg) og lydbøker i samme app, pluss at man kan holde Podcaster og lydbøker atskilt i biblioteket.
Bra app. Oversiktlig og ryddig. MYE bra innhold⭐️⭐️⭐️

Velg abonnementet ditt

Mest populær

Premium

20 timer lydbøker

  • Eksklusive podkaster

  • Ingen annonser i Podimo shows

  • Avslutt når som helst

Prøv gratis i 14 dager
Deretter 99 kr / måned

Prøv gratis

Premium Plus

100 timer lydbøker

  • Eksklusive podkaster

  • Ingen annonser i Podimo shows

  • Avslutt når som helst

Prøv gratis i 14 dager
Deretter 169 kr / måned

Prøv gratis

Bare på Podimo

Populære lydbøker

Prøv gratis

Prøv gratis i 14 dager. 99 kr / Måned etter prøveperioden. Avslutt når som helst.