Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

Podcast by RFI Kiswahili

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuy...

Aloita 7 vrk maksuton tilaus

Kokeilun jälkeen vain 7,99 € / kuukausi.Peru milloin tahansa.

Aloita maksutta

Kaikki jaksot

108 jaksot
episode Nidhamu ya matumizi ya fedha artwork
Nidhamu ya matumizi ya fedha

Katika makala ya hivi leo, tunajadili kuhusu umuhimu wa kuwa na nidhamu ya fedha, kwanini ipo haja ya kuwa na nidhamu ya matumizi binafsi, vipi unaweza kujipanga kwa mwaka ujao? Haya ni miongoni mwa maswali ambayo mtaalamu wetu wa uchumi na biashara Ali Mkimo anaenda kuyajibu.

25. jouluk. 2024 - 10 min
episode Akina mama jimbo la Migori nchini Kenya wanzisha kiwanda cha kuchakata samaki artwork
Akina mama jimbo la Migori nchini Kenya wanzisha kiwanda cha kuchakata samaki

Makala haya yanazungumzia hatua za  wanawake na wasichana katika eneo la Opapo, Kaunti ya Migori nchini Kenya, kwa msaada wa mashirika yasiyo ya kiserikali  na serikali ya kaunti, wameanzisha kiwanda  cha kuchakata samaki, kuboresha biashara ya samaki, na kuongeza thamani kwa kutengeneza bidhaa kama soseji na baga,hivyo kuinua uchumi

19. jouluk. 2024 - 9 min
episode Manufaa na changamoto za mkataba wa biashara huria barani Afrika, AfCFTA artwork
Manufaa na changamoto za mkataba wa biashara huria barani Afrika, AfCFTA

Msikiliza mataifa 54 ya Afrika yametia saini mkataba wa biashara huria barani Afrika, mataifa 48 yakitia saini itifaki kuanza kuutekeleza. Huu ni moja ya mikataba mikubwa ya kibiashara duniani, ukitarajiwa kuwaondoa raia milioni 30 kutoka kwenye umasikini na kuongeza mapato ya bara hil hadi kufikia dola bilioni 450 ifikapo mwaka 2030. Kuangazia kwa kina mkataba huu pamoja na hali ya madeni ya nchi za Afrika, tumezungumza na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania.

04. jouluk. 2024 - 10 min
episode Vijana pwani ya Kenya waachana na dawa za kulevya na kugeukia shughuli za kiuchumi artwork
Vijana pwani ya Kenya waachana na dawa za kulevya na kugeukia shughuli za kiuchumi

Msikilizaji kwa muda sasa, eneo la pwani ya Kenya limekuwa likikabiliwa na kiwango kikubwa cha matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana, Hali hii ikichangia vitendo vya utovu wa nidhamu, kuongezeka kwa magonjwa ya zinaa na ndoa za mapema. Hata hivyo, kutokana na juhudi za mashirika mbalimbali ya kijamii na yasiyo ya kiserikali, vijana wengi walioacha kutumia dawa za kulevya sasa wanajihusisha na miradi ya kibiashara ili kujikimu. Makala ua Gurudumu la Uchumi juma hili, inawaangazia vijana wa eneo la Pwani ambao wameamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.

13. marrask. 2024 - 10 min
episode Sehemu ya pili: Je kuongeza kodi ni suluhu kwa matatizo ya Afrika artwork
Sehemu ya pili: Je kuongeza kodi ni suluhu kwa matatizo ya Afrika

Msikilizaji kwa muda sasa mataifa ya Afrika yameendelea kupitia changamoto za kifedha, kuanzia katika kukusanya mapato na matumizi kwa ajili ya maendeleo yake, hali ambayo imesababisha nchi nyingi kujikuta pabaya kutokana na kulazimika kukopa fedha toka kwa taasisi za kimataifa au nchi zilizoendelea huku ziklipa riba kubwa katika urejeshaji. Lakini je, kuongza kodi ndio suluhu? Mchambuzi wa masuala ya uchumi kutoka Tanzania, Ali Mkimo anafafanua.

07. marrask. 2024 - 10 min
Loistava design ja vihdoin on helppo löytää podcasteja, joista oikeasti tykkää
Kiva sovellus podcastien kuunteluun, ja sisältö on monipuolista ja kiinnostavaa
Todella kiva äppi, helppo käyttää ja paljon podcasteja, joita en tiennyt ennestään.

Saatavilla kaikkialla

Kuuntele Podimoa puhelimella, tabletilla, tietokoneella tai autossa!

Kokonainen maailma kuunneltavaa viihdettä

Tuhansia äänikirjoja ja yksinoikeuspodcasteja

Ei mainoksia

Kuuntelemalla Podimon sisältöä et tuhlaa aikaa mainosten kuuntelemiseen.

Aloita 7 vrk maksuton tilaus

Kokeilun jälkeen vain 7,99 € / kuukausi.Peru milloin tahansa.

Podimon podcastit

Mainoksista vapaa

Muut kuin Podimon podcastit

Äänikirjat

20 tuntia / kk

Aloita maksutta

Muita podcasteja yksinoikeudella

Suosittuja äänikirjoja