
JUKWAA LA KUUZA FILAMU, MUZIKI, HADITHI, VITABU,MAKALA, MAFUNZO N.K
Podcast von Eng. Kabenda Balete
Nimm diesen Podcast mit

Mehr als 1 Million Hörer*innen
Du wirst Podimo lieben und damit bist du nicht allein
Mit 4,7 Sternen im App Store bewertet
Alle Folgen
6 Folgen
Corporate Social Responsibility

Kwenye kila content chini take kuna maandishi yameandikwa Share and Earn, ukintumia mtu link ile utapokea malipo(commision) kwenye My Wallet.

Ndani ya Episode hii tutazungumzia juu ya matumizi ya social media na dhana kuu ya kuuza huduma

Ndani ya Episode hii tutazungumza juu ya dhana ya kuuza Tanzania. Tumezungumza zaidi kwa motivational speakers na trainers. Episode zitakazo fuata tutazungumzia section mbali mbali.

Ndani ya Episode hii, mkurugenzi mtendaji wa Kipaji App ametoa maelezo kwa ufupi juu ya kile kilicho fanya aunde jukwaa hili la kuuzia huduma, sikiliza kisha uliza maswali pale ambapo hujaelewa katika Episode hii ya kwanza.