
Suaheli
Gratis en Podimo
Starte jetzt und verbinde dich mit deinen Lieblingspodcaster*innen
Mehr Augustine Thumbi
podcast inakupa nafasi nzuri ya kueleza kilicho moyoni mwako,kwa njia ya sauti.Karibu.
Siku Imekwisha !
Mungu akubariki mpendwa jioni hii na hata milele.Kupe amani na raha moyoni.Amina
Faraja yangu
Mpendwa,ubarikiwe saana,unapoyasikiliza mashairi haya ya kumtukuza Mungu.Ni maneno ya uzima yatakayokupa faraja katika Hali yako hii,na katika ulimwengu huu uliotibuka kwa Kila tafrani ya dhiki.Natamani tushiriki pamoja ,katika tuo hili la faraja.Amina