
Chill na Sky
Podcast von Simulizi na Sauti
Nimm diesen Podcast mit

Mehr als 1 Million Hörer*innen
Du wirst Podimo lieben und damit bist du nicht allein
Mit 4,7 Sternen im App Store bewertet
Alle Folgen
3 Folgen
Max Rioba anafunguka kuhusu series yake ya We Men, kufanya kazi na Wema Sepetu kwenye tamthilia ya Karma kupotea na kurudi kwa label yake ya MDB na jinsi Diamond alivyokuwa anaitaka kabla ya kuanzisha WCB pamoja na kufanya kazi na Hamisa Mobetto kama meneja wake na mengine

Rapper na mtangazaji wa redio, Frida Amani, anafunguka kwenye #ChillnaSky kuhusu ngoma yake mpya Done ambayo anaelezea kuumizwa vibaya na mwanaume aliyekuwa akimpenda. Anaelezea pia ngoma zake za nyuma, aina yake ya muziki, management yake mpya. Anasimulia pia maisha yake ya utotoni, kulelewa zaidi na bibi yake, alivyokuwa hapendi shule, kuingia BSS, alivyopata kazi East Africa Radio, kuhamia Clouds Media Group

Fahamu mengi kuhusiana na muongozaji mahiri wa filamu na tamthilia nchini, Leah Mwendamseke